Finali za kombe la dunia zinaisha huku zikiiacha timu ya taifa ya Brazil katika hali ya majonzi mazito ni baada ya vipigo viwili mfululizo kutoka kwa timu ya ujerumani na netherand, vipigo hivyo viwili vinamfanya brazili avunje record ya kufungwa magori mengi katika mechi mbili mfululizo, ujerumani walimpiga blazil goli 7-1 na jana kapigwa na netherand gori 3-1 kwa ujumla Blazil kafugwa goli 10 katika mechi mbili zinazofuatana na ukizingatia yeye ndo mwenyeji wa michuano hiyo, kwa nafasii hiyo brazil anakua mshindi wa nne huku
mshindi wa tatu ni netherand na leo mshindi wa kwanza na wapili watajulikana baada ya mpira kumalizika ni ama ujerumani au argentina kunyakua kombe la dunia 2014,pichani hao ni mashabiki wa brazil walio jitokeza kwa wingi kuishangilia timu yao