Wimbi la madactari feki lazidi kuongezeka kutoka tukio la mwisho la kukamatwa kwa dactari feki kutoka hospitari ya Muhimbili sasa lahamia hospitali ya rufaa morogoro kwenye picha hapo juu ni dactari aliye valia nguo ya kazi kama madactari wengine lakini yeye sio dactari, hapo tayari kasha shtukiwa na kukamatwa tayari kwa kupelekwa kituo cha polisi kutoa maelezo, dactari feki alitambulika kwa jina la Karume Habibu.
tazama picha zaidi jinsi tukio lilivyo kua
safari ya kuelekea kituoni yaanza
wafanya kazi na watu walio kuepo eneo la tukio wakishuhudia tukio zima la dactari feki nje ya hospitari ya rufaa morogoro