Kwa wapenzi na mashabiki wa Chris Brown pamoja na Drake wanatambua uwepo wa bifu kati ya mastar
hao wa muziki huko USA, bifu hili linasababishwa na mwanadada Rihana ambaye
alikua Mpenzi wa Chris Brown hapo awali na kuachana naye na kuanza kutoka na
Drake, lakin leo katika tweets Chris kaandika ujumbe unaosomeka kua walishinda
na Drake studio hivyo kuacha maswali mengi kwa mashabiki na wapenzi wa
wasanii
hao ambao bado walikua wanadhani kuna bifu kati yao, hata hivyo tweet ya Chris
ina suppotiwa na picha aliyo ipost mwana dada Stalker Sarah katiaka account yake ya instagram ikimwonyesha
Chris Brown na Drake wakifanya kazi studio pamoja. Mbali na hivyo vyote hakuna
tamko lasimi lililo tolewa kuhusiana na hilo wala kazi gani wanayo ifanya Drake
na Chris walipo kua studio tazama picha hapa chini
hii inamaanisha hakuna tena befu kati ya wasanii hao wawili