Rais wa Kenya amemkemea kiongozi wa CORD Raila
Odinga kua aache kutoa vitisho anavyo toa katika mikutanao yake kwani yeye
hatishiki na vitisho hivyo na pia rais huyo
wa Kenya anasema yupo tayari
kujadili mambo 13 yalio elezwa na wapinzani hao kua ndo changamoto katika maendeleo ya wakenya ili kuyapatia ufumbuzi. Kauli
hii ya Rais wa Kenya imekuja baada ya mikutano ya umoja wa vyama vya upinzani
vikiongozwa na Raila Odinga vilivyo
ungana kuishinikiza serikali juu ya mambo mbali mbali yanayo fanya maendeleo ya
Kenya kurudi nyuma huku jambo la ulinzi likipewa kipaumbele kufuatia milipuko
ya mala kwa mala inayo ikumba nchi ya Kenya,