Hiv ndivyo
ilivyo kua uwanja wa mwalimu nyerere mapokezi ya msanii nyota wa Bongo flavor Diamond
platnumz akitokea USA (Marekani), wapenzi na mashabiki wa msanii huyo walifika
katika uwanja huo huku wakiwa na mabango ambayo yanatoa pongezi kwa msanii
Platnamz kwa juhudi anazo fanya kuusongesha mbele mziki wa bongo flavor hata
hivyo bila kukosa mamaaa Wema Sepetu mke mtarajiwa wa Platnumz alikuepo
kumpokea mmewake mtarajiwa angalia picha hapo chini