ANGALIA VIDEO MPYA YA MR FLAVOUR - WAKE UP FT. WANDE COAL [OFFICIAL VIDEO]
Mr flavour msanii anayejulikana afrika kwa miondoko yake ya tofauti sasa ameachia video yake mpya inayo julikana kwa jina la Wake up.. je ngoma hiyo itabamba kama kawaida ya ngoma zake ?? ichek hapa chini na utoe comment zako