hatimae MB Dog arudi tena kwenye Game la mzikii.. baada ya kimya kilefu saana aa cha msanii wa bongo flovour Mb dog sasa arudi rasmi katika muziki na kuahidi kufanya kazi nzuri zaidi na hii ni kazi yake ya kwanza alio rudi nayo kwa mashabiki wake msikilize Mb Dog. je nyimbo yake itazifunika zile za kwanza?? heb msikilize hapa..