sasa maproducer wa wili mzee Man maji aka Water na mwenzake Mbatizaji wapiga kolabo la nguvu na kutoa kitu kipya kinacho julikana kwa jina la Wife material je unajua nn kimezungumziwa humo ndani ?? na unajua jinsi ma producer hao walivyo tisha humo?? ni balaaa usikilize hapo chini