TANGAZA NA TAZAMA HABARI

FANYA BIASHARA YAKO IJULIKANE ZAIDII jivunie kua mwanafamilia wa tazama habari ! WEAPON FOUNDATION TANGAZA BIASHARA YAKO NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI TUNAKUSHUKURU KWA KUA MWANAFAMILIA WA TAZAMA HABARI

Sunday, September 21, 2014

DO YOU KNOW THAT TO DAY IS THE INTERNATIONAL DAY OF PEACE!!??

Each year the International Day of Peace is observed around the world on 21 September. The General Assembly has declared this as a day devoted to strengthening the ideals of peace, both within and among all nations and peoples.
To mark the 30th anniversary of the General Assembly Declaration on the Right of Peoples to PeacePDF document, the theme of this year’s International Day of Peace is the “Right of Peoples to Peace”. This anniversary offers a unique opportunity to reaffirm the United Nations commitment to the purposes and principles upon which

KURASA ZA MBELE NA NYUMA ZA MAGAZETI YA LEO 21 SEPT 2014






















soma kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo

VIDEO MPYA YA SULTAN KING ~ NINANI OFFICIAL VIDEO [HZB TV]



Angalia video mpya kutoka kwa mwana mziki sultan king ..video ina kwenda kwa jina la ni nani .. je ni jinsi gani video imetishaaa hebe itazame hapo chini

AJIRA; NAFASI ZA KAZI SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE MOROGORO

NAFASI ZA KAZI SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE MOROGORO
SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE MOROGORO

JOB OPPORTUNITIES

RE-ADVERTISEMENT

The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) invites qualified Tanzanians to apply for positions of Tutorial Assistants (TA’s) (<35 yrs of age) and Assistant Lecturers (<45 years). Applicants are

AJIRA; NAFASI ZA KAZI JESHI LA MAGEREZA


NAFASI ZA AJIRA Jeshi la Magereza 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
(Jeshi la Magereza)
TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA

Jeshi la Magereza Tanzania Bara linatangaza nafasi za Mafunzo ya Awali ya Askari Magereza yatakayoendeshwa Chuo cha Magereza Kiwira Tukuyu Mbeya. Waombaji wa nafasi hizo wanatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:-

Tuesday, September 16, 2014

AJIRA ; NAFASI ZA KAZI OCEAN ROAD CANCER INSTITUTE

Angalia nafasi za kazi mbali mbali zilizo tangazwa na ocean road cancer institute 
Medical Record Assistant at Ocean Road Cancer Institute
From the Daily news of 15th September
The Ocean Road Cancer Institute (ORCI) was established by the Act of Parliament No.20f 1996. The Institute is a semi-autonomous organization which operates at "arm's

Monday, September 15, 2014

SIKILIZA AUDIO MPYA YA AY FT MIS TRINITI & LAMYIA - ITS GOIN DOWN













kwa mara nyingine tena mzee wa commercial ameamua kuwashilikisha wasanii miss triniti na lamyia kutoka pande za USA katika song lake jipya linalo kwenda kwa jina la its going down ni bonge la song aka ni lakimataifa sikiliza ngoma hii hapa chini

ANGALIA VIDEO MBILI ZA PROFESSOR JAY 3CHAFU NA KIPI SIJA SIKIA. NI SHIDAA










Angalia video mbili za msanii professor jay alizo ziachia you tube leo na ndizo alizo zifanyia uzinduzi siku ya juma mosi iliyo pita je video hizo ziko vipi angalia hapa

Sunday, September 14, 2014

AZAM FC WAKUBALI KICHAPO CHA GOLI 3 KUTOKA KWA YANGA HUKU JAJA AKIPIGA GOLI 2








Kocha Marcio Maximo akimpongeza Genilson Santana 'Jaja' baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Azam FC mechi ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Balo lingine lilifungwa na Simon Msuva.

SIKILIZA HOTUBA YA PROFESSOR LIPUMBA KWENYE MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA CHADEMA ATAKA UKAWA ITOE MGOMBEA MMOJA




PROFESSOR IBRAHIM LIPUMBA kutoka CUF alikua mmoja wa walio alikwa kwenye mkutano mkuu wa chadema ulio fanyika leo pale mliman city hall, mwenyekiti huyu wa chama CUF ametoa hotuba nzuri inayo lenga kutaka wapinzani wote kuungana na kupendekeza mgombea mmoja, pia amemwagia sifa kibao mwenyekiti wa Chama cha democrasia na maendereo CHADEMA na kusema amejitahidi mno kukijenga chama chake, katika hotuba yake fupi kazungumzia mambo mengi sikiliza hotuba yake hapo chini....

ANGALIA PICHA NA LIVE UPDATES YA YANAYO JILI MKUTANO MKUU WA CHADEMA PALE MLIMANI CITY

 Nawakaribisha nyote katika mkutano mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA hapa katika ukumbi wa mlimani city.Huu ni mkutano mkuu utakaochagua viongozi wakuu wa chama kwa kipindi kingine cha miaka mitano.

Mkutano mkuu huu umetanguliwa na chaguzi za mabaraza ya CHADEMA kwa juma zima hili amabapo tayari mabaraza ya wazee,wanawake (BAWACHA) na vijana (BAVICHA) yamefanya chaguzi zake na kupata viongozi.

ANGALIA TOLEO JINGINE LA WIMBO WA NICK MINAJI ANACONDA WIMBO HUU NI SHIDAAA







Haya sasa toleo lingine la wimbo wa niki minaji ulio vunza record nyingi duniani huu hapa ni nn kimebadilishwa ndani humo na je ni zaidi ya ilee just angalia hapo down